YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 25:5

Yeremia 25:5 NEN

Walisema, “Geukeni sasa, kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya na matendo yake maovu, ndipo mtaweza kukaa katika nchi ambayo BWANA aliwapa ninyi na baba zenu milele.