YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 45:3-4

Yeremia 45:3-4 NEN

Ulisema, ‘Ole wangu! BWANA ameongeza huzuni juu ya maumivu yangu, nimechoka kwa kulia kwa uchungu wala sipati pumziko.’ ” BWANA akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote.

Video for Yeremia 45:3-4