YouVersion Logo
Search Icon

Yeremia 5:22

Yeremia 5:22 NENO

Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema BWANA. “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, kizuizi cha milele ambacho bahari haiwezi kuupita. Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka.