Yeremia 7:3
Yeremia 7:3 NENO
Hili ndilo asemalo BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli: Tengenezeni njia zenu na matendo yenu, nami nitawaacha mkae mahali hapa.