YouVersion Logo
Search Icon

Ayubu 15:15-16

Ayubu 15:15-16 NEN

Kama Mungu hawaamini watakatifu wake, kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake, sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji!

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayubu 15:15-16