YouVersion Logo
Search Icon

Ayubu 22:21-22

Ayubu 22:21-22 NEN

“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia. Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako.