YouVersion Logo
Search Icon

Walawi 10:1

Walawi 10:1 NEN

Nadabu na Abihu, wana wa Aroni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea BWANA moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu.

Related Videos