YouVersion Logo
Search Icon

Walawi 9:24

Walawi 9:24 NEN

Moto ukaja kutoka uwepo wa BWANA, ukairamba ile sadaka ya kuteketezwa, pamoja na sehemu ya mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu. Watu wote walipoona jambo hili, wakapiga kelele kwa furaha na kusujudu.

Related Videos