YouVersion Logo
Search Icon

Hab 3:17-18

Hab 3:17-18 SUV

Maana mtini hautachanua maua, Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda; Taabu ya mzeituni itakuwa bure, Na mashamba hayatatoa chakula; Zizini hamtakuwa na kundi, Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng’ombe; Walakini nitamfurahia BWANA Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.

Video for Hab 3:17-18