YouVersion Logo
Search Icon

Ayu 24:22-24

Ayu 24:22-24 SUV

Lakini Mungu huwadumisha wenye uwezo kwa nguvu zake; Huinuka, wasiokuwa na tumaini la kuishi. Huwapa kuwa na salama, nao wapumzika kwayo; Na macho yake ya juu ya njia zao. Wao wametukuzwa; lakini kitambo kidogo hutoweka; Naam, hushushwa, na kuondolewa njiani kama wengine wote, Nao hukatwa kama vile masuke ya ngano.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayu 24:22-24