YouVersion Logo
Search Icon

Ayu 34:10-11

Ayu 34:10-11 SUV

Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu. Kwani atamlipa binadamu kwa kazi yake, Naye atamfanya kila mtu kuona sawasawa na njia zake

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayu 34:10-11