YouVersion Logo
Search Icon

Zab 81:13-14

Zab 81:13-14 SUV

Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu; Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu