YouVersion Logo
Search Icon

1 Wafalme 14:8

1 Wafalme 14:8 SRUV

nikaurarulia mbali ufalme utoke nyumba yake Daudi, na kukupa wewe; lakini wewe hukuwa kama mtumishi wangu Daudi, aliyezishika amri zangu, na kunifuata kwa moyo wake wote, asifanye lolote ila yaliyo mema machoni pangu

Video for 1 Wafalme 14:8