YouVersion Logo
Search Icon

Ayubu 24:22-24

Ayubu 24:22-24 SRUV

Lakini Mungu huwadumisha wenye uwezo kwa nguvu zake; Huinuka, wasiokuwa na tumaini la kuishi. Huwapa usalama, nao wapumzika kwao; Na macho yake yako juu ya njia zao. Wao wametukuzwa; lakini kitambo kidogo hutoweka; Naam, hushushwa, na kuondolewa njiani kama wengine wote, Nao hukatwa kama vile masuke ya ngano.

Free Reading Plans and Devotionals related to Ayubu 24:22-24