YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 17:17-18

Mathayo 17:17-18 SRUV

Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa pamoja nanyi hadi lini? Nitachukuliana nanyi hadi lini? Mleteni huku kwangu. Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule mvulana akapona tangu saa ile.