YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 26:4-5

Mithali 26:4-5 SRUV

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.