YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 134

134
Sifa ya usiku
Wimbo wa kupanda mlima.
1 # Law 8:35; 1 Nya 9:33; Zab 130:6; Lk 2:37 Njoni, enyi watumishi wote wa BWANA,
Mhimidini BWANA
Ninyi mnaohudumu usiku
Katika nyumba ya BWANA.
2 # Zab 28:2; 1 Tim 2:8 Painulieni patakatifu mikono yenu,
Na kumhimidi BWANA.
3 # Zab 124:8; 128:5 BWANA akubariki toka Sayuni,
Aliyeziumba mbingu na nchi.

Currently Selected:

Zaburi 134: SRUV

Highlight

Share

Copy

None

Want to have your highlights saved across all your devices? Sign up or sign in