YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 17:17-18

Mathayo 17:17-18 TKU

Yesu akajibu, “Ninyi watu mnaoishi katika nyakati hizi cha kizazi kisicho na imani. Maisha yenu ni mabaya sana! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni kijana hapa.” Yesu akamwamuru pepo aliye ndani ya kijana, na pepo akamtoka na yule kijana akapona.