YouVersion Logo
Search Icon

Matendo ya Mitume 2:46-47

Matendo ya Mitume 2:46-47 SWC02

Kila siku walikuwa wakikusanyika pamoja katika hekalu, nao walikula chakula pamoja katika nyumba zao kwa furaha na katika unyenyekevu. Nao walisifu Mungu na kufurahiwa na watu wote. Na kila siku Bwana aliongeza katika kundi la waamini watu waliokuwa wakiokolewa.

Video for Matendo ya Mitume 2:46-47