Mwanzo 26:4-5
Mwanzo 26:4-5 SWC02
Nitawazidisha wazao wako wakuwe kama nyota za mbinguni na kuwapa inchi hizi zote. Kutokana na wazao wako, mataifa yote katika dunia yatabarikiwa, kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, akashika maagizo yangu, amri zangu, masharti yangu na sheria zangu.”