Mwanzo 27:38
Mwanzo 27:38 SWC02
Esau akamwambia baba yake: “Baba, maana yake una baraka moja tu? Unibariki hata mimi, ee baba!” Halafu Esau akalia kwa sauti kubwa.