Yoane 14:16-17
Yoane 14:16-17 SWC02
Nami nitamwomba Baba awape musaidizi mwingine kwa kukaa nanyi milele; naye ndiye Roho wa ukweli. Dunia haiwezi kumupokea, kwa sababu haimwoni wala haimujui. Lakini munamujua, kwa maana anaishi pamoja nanyi naye anakuwa ndani yenu.