YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 11:17-18

Matendo 11:17-18 SCLDC10

Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine kipawa kilekile alichotupa sisi tulipomwamini Bwana Yesu Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga Mungu?” Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu wapate uhai!”

Video for Matendo 11:17-18

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 11:17-18