YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 25:6-7

Matendo 25:6-7 SCLDC10

Festo alikaa nao kwa muda wa siku nane au kumi hivi, kisha akarudi Kaisarea. Kesho yake alikwenda barazani, akaamuru Paulo aletwe ndani. Wakati Paulo alipofika, Wayahudi waliokuwa wametoka Yerusalemu walimzunguka wakaanza kutoa mashtaka mengi mazitomazito ambayo hawakuweza kuthibitisha.

Video for Matendo 25:6-7

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 25:6-7