YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 15:10

Kumbukumbu la Sheria 15:10 SCLDC10

Mpeni ndugu maskini kwa ukarimu bila kunungunika; maana kwa ajili ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika kazi zenu zote na katika kila mfanyalo.