Kumbukumbu la Sheria 5:21
Kumbukumbu la Sheria 5:21 SCLDC10
“ ‘Usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba yake, wala shamba lake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu chochote alicho nacho jirani yako.’