YouVersion Logo
Search Icon

Rom 7:21-22

Rom 7:21-22 SCLDC10

Basi, nimegundua kanuni hii: Ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua. Ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria ya Mungu.

Video for Rom 7:21-22