YouVersion Logo
Search Icon

Luka MT. 21:25-27

Luka MT. 21:25-27 SWZZB1921

Na kutakuwa ishara katika jua na mwezi na nyota: na katika inchi dhiiki ya mataifa, wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakizimia kwa khofu, na kwa kutazamia yanayoujia ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikisika. Ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu kwa nguvu na utukufu mwingi.