Matendo 10:34-35
Matendo 10:34-35 NMM
Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo, lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye.