YouVersion Logo
Search Icon

Danieli 2:20-22

Danieli 2:20-22 BHN

akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake. Hubadilisha nyakati na majira, huwaondoa na kuwatawaza wafalme. Wenye busara huwapa hekima, wenye maarifa huwaongezea ufahamu. Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake.