1
Yohana 10:10
Neno: Bibilia Takatifu
Mwizi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi nimekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele.
Compara
Explorar Yohana 10:10
2
Yohana 10:11
“Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Explorar Yohana 10:11
3
Yohana 10:27
Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata
Explorar Yohana 10:27
4
Yohana 10:28
nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu.
Explorar Yohana 10:28
5
Yohana 10:9
Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Explorar Yohana 10:9
6
Yohana 10:14
“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.
Explorar Yohana 10:14
7
Yohana 10:29-30
Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake. Mimi na Baba yangu tu umoja.”
Explorar Yohana 10:29-30
8
Yohana 10:15
Kama vile Baba anavyonijua mimi, nami ninavyomjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
Explorar Yohana 10:15
9
Yohana 10:18
Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”
Explorar Yohana 10:18
10
Yohana 10:7
Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo.
Explorar Yohana 10:7
11
Yohana 10:12
Mtu wa kuajiriwa sio mchungaji mwenye kondoo. Amwonapo mbwa mwitu akija, yeye hukimbia na kuwaacha kondoo. Naye mbwa mwitu hulishambulia kundi na kulitawanya.
Explorar Yohana 10:12
12
Yohana 10:1
“Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi.
Explorar Yohana 10:1
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos