1
Mwanzo 11:6-7
Swahili Revised Union Version
BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya. Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
Compara
Explorar Mwanzo 11:6-7
2
Mwanzo 11:4
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
Explorar Mwanzo 11:4
3
Mwanzo 11:9
Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.
Explorar Mwanzo 11:9
4
Mwanzo 11:1
Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Explorar Mwanzo 11:1
5
Mwanzo 11:5
BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Explorar Mwanzo 11:5
6
Mwanzo 11:8
Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
Explorar Mwanzo 11:8
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos