1
Luka 23:34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Na Yesu alikuwa anasema, “Baba uwasamehe watu hawa, kwa sababu hawajui wanalofanya.” Askari waligawana nguo zake kwa kutumia kamari.
Compara
Explorar Luka 23:34
2
Luka 23:43
Yesu akamwambia, “Ninakwambia kwa uhakika, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Explorar Luka 23:43
3
Luka 23:42
Kisha akamwambia Yesu, “Unikumbuke utakapoanza kutawala kama mfalme!”
Explorar Luka 23:42
4
Luka 23:46
Yesu alipaza sauti akasema, “Baba, ninaiweka roho yangu mikononi mwako!” Baada ya Yesu kusema haya, akafa.
Explorar Luka 23:46
5
Luka 23:33
Walipelekwa mahali palipoitwa “Fuvu la Kichwa.” Askari walimpigilia Yesu msalabani pale. Waliwapigilia misalabani wahalifu pia, mmoja aliwekwa upande wa kulia na mwingine kushoto kwa Yesu.
Explorar Luka 23:33
6
Luka 23:44-45
Ilikuwa yapata saa sita mchana, lakini kulibadilika kukawa giza mpaka saa tisa alasiri, kwa sababu jua liliacha kung'aa. Pazia ndani ya Hekalu lilichanika vipande viwili.
Explorar Luka 23:44-45
7
Luka 23:47
Mkuu wa askari wa Kirumi aliyekuwa pale alipoona yaliyotokea, alimsifu Mungu, akisema, “Ninajua mtu huyu alikuwa mtu mwema!”
Explorar Luka 23:47
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos