1
Mathayo 19:26
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu akawatazama na kuwaambia, “Hili haliwezekani kwa wanadamu, Lakini yote yanawezekana kwa Mungu.”
Compara
Explorar Mathayo 19:26
2
Mathayo 19:6
Hivyo wao si wawili tena, bali mmoja. Ni Mungu aliowaunganisha pamoja, hivyo mtu yeyote asiwatenganishe.”
Explorar Mathayo 19:6
3
Mathayo 19:4-5
Yesu akajibu, “Hakika mmesoma hili katika Maandiko: Mungu alipoumba ulimwengu, ‘aliumba watu wa jinsi ya kiume na wa jinsi ya kike.’ Na Mungu alisema, ‘Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa mmoja.’
Explorar Mathayo 19:4-5
4
Mathayo 19:14
Lakini Yesu akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wa watu walio kama watoto hawa wadogo.”
Explorar Mathayo 19:14
5
Mathayo 19:30
Watu wengi walio wa kwanza sasa watakuwa wa mwisho siku zinazokuja. Na walio wa mwisho sasa watakuwa wa kwanza siku zinazokuja.
Explorar Mathayo 19:30
6
Mathayo 19:29
Kila aliyeacha nyumba, ndugu, dada, baba, mama, watoto au shamba na akanifuata atapata zaidi ya yale aliyoacha. Na atapata uzima wa milele.
Explorar Mathayo 19:29
7
Mathayo 19:21
Yesu akajibu, “Ikiwa unataka kuwa mkamilifu, nenda ukauze kila kitu unachomiliki. Uwape pesa maskini na utakuwa na utajiri mbinguni. Kisha njoo unifuate!”
Explorar Mathayo 19:21
8
Mathayo 19:17
Yesu akajibu, “Kwa nini unaniuliza kuhusu jambo gani lililo jema? Mungu pekee yake ndiye mwema. Lakini ikiwa unataka kuupata uzima wa milele, zitii amri.”
Explorar Mathayo 19:17
9
Mathayo 19:24
Ndiyo, ninawaambia, ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
Explorar Mathayo 19:24
10
Mathayo 19:9
Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
Explorar Mathayo 19:9
11
Mathayo 19:23
Ndipo Yesu aliwaambia wafuasi wake, “Ukweli ni huu, itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Explorar Mathayo 19:23
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos