1
Mathayo 25:40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Kisha mfalme atajibu, ‘Ukweli ni kuwa, kila mlichowafanyia mmojawapo wa watu wangu hapa, hata wale walioonekana kuwa si watu wa thamani, mlinifanyia mimi pia.’
Compara
Explorar Mathayo 25:40
2
Mathayo 25:21
Bwana wake akajibu, ‘Ulifanya vyema. Wewe ni mtumishi mwema unayeweza kuaminiwa. Ulifanya vizuri kwa kiasi kidogo hicho cha pesa. Hivyo nitakufanya kuwa msimamizi wa mambo makuu. Njoo usherehekee pamoja nami.’
Explorar Mathayo 25:21
3
Mathayo 25:29
Kila aliyezalisha faida atapata zaidi. Atakuwa na vingi kuzidi mahitaji yake. Lakini wale wasiotumia walivyonavyo kuleta faida watanyang'anywa kila kitu.’
Explorar Mathayo 25:29
4
Mathayo 25:13
Hivyo iweni tayari kila wakati. Hamjui siku wala muda ambao Mwana wa Adamu atakuja.
Explorar Mathayo 25:13
5
Mathayo 25:35
Ni wenu kwa sababu nilipokuwa na njaa, mlinipa chakula. Nilipokuwa na kiu, mlinipa maji ya kunywa. Nilipokosa mahali pa kukaa, mlinikaribisha katika nyumba zenu.
Explorar Mathayo 25:35
6
Mathayo 25:23
Explorar Mathayo 25:23
7
Mathayo 25:36
Nilipokosa nguo, mlinipa mavazi ya kuvaa. Nilipokuwa mgonjwa, mlinijali. Nilipofungwa gerezani, mlikuja kunitembelea.’
Explorar Mathayo 25:36
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos