1
Yohana 4:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mungu ni Roho, na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
Compara
Explorar Yohana 4:24
2
Yohana 4:23
Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba anawatafuta watu wanaomwabudu kwa namna hii.
Explorar Yohana 4:23
3
Yohana 4:14
Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika uzima wa milele.”
Explorar Yohana 4:14
4
Yohana 4:10
Isa akamjibu, “Kama ungeijua karama ya Mungu, na ni nani anakuomba maji ya kunywa, ungemwomba yeye, naye angekupa maji ya uzima.”
Explorar Yohana 4:10
5
Yohana 4:34
Lakini Isa akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.
Explorar Yohana 4:34
6
Yohana 4:11
Yule mwanamke akamjibu, “Bwana, wewe huna chombo cha kutekea maji na kisima hiki ni kirefu. Hayo maji ya uzima utayapata wapi?
Explorar Yohana 4:11
7
Yohana 4:25-26
Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Al-Masihi” (yaani Aliyetiwa mafuta) “anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Isa akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”
Explorar Yohana 4:25-26
8
Yohana 4:29
“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Al-Masihi?”
Explorar Yohana 4:29
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos