1
Yohana MT. 10:10
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Mwizi haji illa aibe, achinje, aharibu; mimi nalikuja wawe na uzima, na wawe nao tele.
Compara
Explorar Yohana MT. 10:10
2
Yohana MT. 10:11
Mimi ndimi niliye mchunga aliye mwema: mchunga aliye mwema huweka maisha yake kwa ajili ya kondoo.
Explorar Yohana MT. 10:11
3
Yohana MT. 10:27
Kondoo zangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata
Explorar Yohana MT. 10:27
4
Yohana MT. 10:28
nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakaewapokonya katika mkono wangu.
Explorar Yohana MT. 10:28
5
Yohana MT. 10:9
Mimi ndimi niliye mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka, ataingia, atatoka, na atapata malisho.
Explorar Yohana MT. 10:9
6
Yohana MT. 10:14
Mimi ndimi niliye mchunga aliye mwema; na walio wangu nawajua, na walio wangu wananijua
Explorar Yohana MT. 10:14
7
Yohana MT. 10:29-30
Baba yangu aliyenipa ni mkuu kuliko wote; wala hakuna awezae kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Mimi na Baba yangu tu nmoja.
Explorar Yohana MT. 10:29-30
8
Yohana MT. 10:15
kama vile Baba anijuavyo, na mimi nimjuavyo Baba: na uzima wangu nauweka kwa ajili ya kondoo.
Explorar Yohana MT. 10:15
9
Yohana MT. 10:18
Hakuna mtu aniondoleae, bali mimi nauweka mwenyewe. Nina uweza wa kuuweka, tena nina uweza wa kuutwaa tena. Agizo hili nalilipokea kwa Baba yangu.
Explorar Yohana MT. 10:18
10
Yohana MT. 10:7
Bassi Yesu aliwaamhia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi niliye mlango wa kondoo
Explorar Yohana MT. 10:7
11
Yohana MT. 10:12
Mtu wa mshahara, na asiye mchunga, ambae kondoo si mali yake, humwona mbwa wa mwitu anakuja, huziacha kondoo, hukimbia; na mbwa wa mwitu huziteka, huzitawanya.
Explorar Yohana MT. 10:12
12
Yohana MT. 10:1
AMIN, amin, nawaambieni, asiyeingia kwa mlango katika zizi la kondoo, lakini apanda penginepo, huyu ni mwizi na mnyangʼanyi.
Explorar Yohana MT. 10:1
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos