1
Mattayo MT. 5:15-16
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya kibaba, bali juu ya kibao cha kuwekea taa; nayo yaangaza wote waliomo nyumbani. Vivi hivi nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wakamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Compara
Explorar Mattayo MT. 5:15-16
2
Mattayo MT. 5:14
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kustirika ukiwa juu ya mlima.
Explorar Mattayo MT. 5:14
3
Mattayo MT. 5:8
Wa kheri walio na moyo safi; maana hawo watamwona Mungu.
Explorar Mattayo MT. 5:8
4
Mattayo MT. 5:6
Wa kheri wenye njaa na kiu ya haki: maana hawo watashiba.
Explorar Mattayo MT. 5:6
5
Mattayo MT. 5:44
bali mimi nawaambieni, Wapendeni adui zenu, wabarikini wanaowalaani, watendeni mema wanaowachukia, waombeeni wanaowatendea ukorofi, na kuwatesa
Explorar Mattayo MT. 5:44
6
Mattayo MT. 5:3
Wa kheri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Explorar Mattayo MT. 5:3
7
Mattayo MT. 5:9
Wa kheri wasuluhishi: maana hawo watakwitwa wana wa Mungu.
Explorar Mattayo MT. 5:9
8
Mattayo MT. 5:4
Wa kheri wenye huzuni: maana hawo watafarajika.
Explorar Mattayo MT. 5:4
9
Mattayo MT. 5:10
Wa kheri wateswao kwa ajili ya haki: maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Explorar Mattayo MT. 5:10
10
Mattayo MT. 5:7
Wa kheri wenye rehema: maana hawo watarehemiwa.
Explorar Mattayo MT. 5:7
11
Mattayo MT. 5:11-12
M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu. Furahini, shangilieni: kwakuwa thawabu yenu nyingi mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.
Explorar Mattayo MT. 5:11-12
12
Mattayo MT. 5:5
Wa kheri wenye upole: maana hawo watairithi inchi.
Explorar Mattayo MT. 5:5
13
Mattayo MT. 5:13
Ninyi ni chumvi ya dunia: lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwani ikolee? Haifai tena kabisa, illa kufupwa nje na kukanyagwa na watu.
Explorar Mattayo MT. 5:13
14
Mattayo MT. 5:48
Bassi mwe ninyi wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
Explorar Mattayo MT. 5:48
15
Mattayo MT. 5:37
Bali maneno yenu yawe, Ndio, ndio; Sio, sio: kwa kuwa izidiyo haya yatoka kwa yule mwovu.
Explorar Mattayo MT. 5:37
16
Mattayo MT. 5:38-39
Mmesikia walivyoambiwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino: bali mimi nawaambieni, Msishindane na mtu mwovu; bali mtu akupigae shavu la kuume, mgeuzie na la pili.
Explorar Mattayo MT. 5:38-39
17
Mattayo MT. 5:29-30
Jicho lako la kuume likikukosesha, lingʼoe ulitupe mbali nawe: kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehannum. Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe: kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee, wala mwili wako mzima usitupwe katika jehannum.
Explorar Mattayo MT. 5:29-30
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos