1
1 Mose 13:15
Swahili Roehl Bible 1937
Nchi hizi zote, unazoziona, nitakupa wewe nao wa uzao wako kuwa zenu kale na kale.
Compara
Explorar 1 Mose 13:15
2
1 Mose 13:14
Aburamu alipokwisha kutengana na Loti, Bwana akamwambia: Yainue macho yako, utazame toka mahali hapa, unapokaa, upande wa kaskazini na wa kusini na wa maawioni kwa jua na wa baharini!
Explorar 1 Mose 13:14
3
1 Mose 13:16
Nao wazao wako nitawafanya kuwa wengi kama mavumbi ya nchi. Kama mtu anaweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, wa uzao wako nao watahesabika.
Explorar 1 Mose 13:16
4
1 Mose 13:8
Ndipo, Aburamu alipomwambia Loti: Tusigombane mimi na wewe, wala wachungaji wangu na wachungaji wako! Kwani sisi tu ndugu.
Explorar 1 Mose 13:8
5
1 Mose 13:18
Kisha Aburamu akayafunga mahema, akaenda kukaa katika kimwitu cha Mamure kilichokuwa karibu ya Heburoni, akajenga huko pa kumtambikia Bwana.
Explorar 1 Mose 13:18
6
1 Mose 13:10
Loti akayainua macho yake, akaliona bonde zima la Yordani, ya kuwa lote lilikuwa lenye maji mengi kufika hata Soari; Bwana alipokuwa hajaiangamiza bado Sodomu na Gomora, lilikuwa kama shamba la Mungu, kama Misri.
Explorar 1 Mose 13:10
Inici
La Bíblia
Plans
Vídeos