Yohana 6:19-20

Yohana 6:19-20 TKU

Wakaiendesha mashua kiasi cha kilomita tano au sita. Kisha wakamwona Yesu. Yeye alikuwa anatembea juu ya maji, akiifuata mashua. Nao wakaogopa. Lakini Yesu akawaambia, “Msiogope. Ni mimi.”