Luka 10:36-37
Luka 10:36-37 TKU
Kisha Yesu akasema, “Ni yupi kati ya hawa watu watatu unadhani hakika alikuwa jirani wa yule mtu aliyepigwa na majambazi?” Mwanasheria akajibu, “Ni yule aliyemsaidia.” Yesu akasema, “Basi nenda ukafanye kama alivyofanya.”