Mathayo 24:12-13

Mathayo 24:12-13 TKU

Kutakuwepo na uovu mwingi sana duniani kiasi kwamba upendo wa waaminio wengi utapoa. Lakini yeyote yule atakayekuwa mwaminifu mpaka mwisho ataokolewa.