Mathayo 5:38-39

Mathayo 5:38-39 TKU

Mmesikia ilisemwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ Lakini ninawaambia msishindane na yeyote anayetaka kuwadhuru. Mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto pia.