Mathayo 6:3-4

Mathayo 6:3-4 TKU

Hivyo unapowapa maskini, mtu yeyote asijue unachofanya. Kutoa kwako kunapaswa kufanyika sirini kwa kuwa Baba yako huona mambo yanayofanywa sirini, naye atakupa thawabu.