Yohana MT. 2:7-8

Yohana MT. 2:7-8 SWZZB1921

Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Wakayajaliza hatta juu. Akawaambia, Sasa tekeni, mpelekeeni mkuu wa meza. Wakapeleka.