Luka MT. 13:18-19

Luka MT. 13:18-19 SWZZB1921

Bassi, akasema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Na niufananishe na nini? Umefanana na punje ya kharadali, aliyotwaa mtu akaitupa katika shamba lake, ikakua, ikawa mti mkubwa, ndege za anga wakatua katika matawi yake.