Luka MT. 19:5-6

Luka MT. 19:5-6 SWZZB1921

Na Yesu, alipofika mahali pale, akatazama juu, akamwona, akamwambia, Zakkayo, shuka upesi; maana leo imenipasa kushinda nyumbani mwako. Akashuka upesi, akamkaribisha kwa furaha.