Luka MT. 21:9-10

Luka MT. 21:9-10 SWZZB1921

Nanyi mtakaposikia khabari za vita na fitina msitishwe: maana haya hayana buddi kutukia kwanza, lakini mwisho wenyewe hauji marra moja. Kiisha akawaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme