Mattayo MT. 6:3-4

Mattayo MT. 6:3-4 SWZZB1921

Bali wewe utoapo sadaka, hatta mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume ufanyalo; sadaka yako iwe kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.