Mattayo MT. 7:3-4

Mattayo MT. 7:3-4 SWZZB1921

Nawe, ya nini kukitazama kibanzi kilicho katika jicho la ndugu yako, na boriti iliyo katika jicho lako huiangalii? Au utamwambiaje ndugu yako, Niache niondoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! imo boriti ndani ya jicho lako?